Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio WhatsApp kwasababu ya changamoto ya bundle.
Wana tech, natanguliza shukrani.