Iwapo kuna shida kwa EMS basi waweza kunicheck PM ili nipokee mzigo wako hapaChullora , NSW, then unatumwa Tanzania, na ukifika Dar unatumiwa kwa basi au EMS, Ghalama itatokana na uzito wa huo mzigo, hivyo ni vyema akujulishe kwanza una uzito wa kg ngapi huo mzigo.