Nawezaje kutumiwa mzigo wangu kutoka australia

Nawezaje kutumiwa mzigo wangu kutoka australia

Bwasheemweusi

Member
Joined
May 6, 2017
Posts
39
Reaction score
17
Habari za siku wakuu , kuna rafiki yangu anataka kunitumia mzigo yuko australia , sasa ni ipi njia salama ya mimi kupata huo mzigo nipo Moshi
 
mimi kupata huo mzigo nipo Moshi
Njia ya EMS, mzigo utakufikia,

Iwapo kuna shida kwa EMS basi waweza kunicheck PM ili nipokee mzigo wako hapa Chullora , NSW , then unatumwa Tanzania, na ukifika Dar unatumiwa kwa basi au EMS, Ghalama itatokana na uzito wa huo mzigo, hivyo ni vyema akujulishe kwanza una uzito wa kg ngapi huo mzigo.
 
Back
Top Bottom