L LuckMum New Member Joined Aug 5, 2019 Posts 2 Reaction score 0 Aug 7, 2019 #1 habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara
habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara
miss_blossom JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,607 Reaction score 2,150 Aug 7, 2019 #2 LuckMum said: habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara Click to expand... Hakikisha hao dagaa ni wakavu kabisa. Na kama utaona wana ubichi ile sehemu ya tumboni waanike wakauke vizuri hapo wanaweza kukaa muda mrefu.
LuckMum said: habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara Click to expand... Hakikisha hao dagaa ni wakavu kabisa. Na kama utaona wana ubichi ile sehemu ya tumboni waanike wakauke vizuri hapo wanaweza kukaa muda mrefu.
kamituga JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 1,195 Reaction score 1,933 Aug 8, 2019 #3 Hakikisha wamekauka kabisa,wahifadhi mahali pasipo na unyevu na uwe unawatoa angalau kwa weak mara mbili ili kuwaanika wasije kupiteza muonekano na kua narangi nyekundu.
Hakikisha wamekauka kabisa,wahifadhi mahali pasipo na unyevu na uwe unawatoa angalau kwa weak mara mbili ili kuwaanika wasije kupiteza muonekano na kua narangi nyekundu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 8, 2019 #4 Anika wakauke... Cc: mahondaw