Nawezaje kutunza dagaa wengi bila kuharibika?

Nawezaje kutunza dagaa wengi bila kuharibika?

LuckMum

New Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
2
Reaction score
0
habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara
 
habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara
Hakikisha hao dagaa ni wakavu kabisa.
Na kama utaona wana ubichi ile sehemu ya tumboni waanike wakauke vizuri hapo wanaweza kukaa muda mrefu.
 
Hakikisha wamekauka kabisa,wahifadhi mahali pasipo na unyevu na uwe unawatoa angalau kwa weak mara mbili ili kuwaanika wasije kupiteza muonekano na kua narangi nyekundu.
 
Back
Top Bottom