TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Wakuu kuna mdogo wangu ana uzoefu na mambo ya IT. Juzi juzi alinishirikisha wazo lake la ubunifu lakini linafaa sana kuwa implemented na makampuni yanayotengeza simu kama nokia, samsung n.k. Tukajaribu na kuperuzi ktk forums na website zao lakin hatukufanikiwa kupata namna gani bwana mdogo anaweza akawauzia au kufaidika na wazo lake endapo wangeridhia.
Wakuu kwa mwenye uzoefu, mawazo ya kujenga au anaefahamu vizuri hii ishu tafadhali tunaomba msaada wako.
Wakuu kwa mwenye uzoefu, mawazo ya kujenga au anaefahamu vizuri hii ishu tafadhali tunaomba msaada wako.