Mpaka hapo wewe na huyo mdogo wako kama kweli wote mmeishafeli.Sasa sijui hao mtawapelekea nini.
Wewe dunia hii na mtaalam wa IT kama unavyojiita unashwindwa kutafuta conctacts za Makampuni makubwa kama hayo?
IT za kikwetukwetu kweli kazi ipi,ndugu we tulia wauzie wazo hilo wabongo wenzio hapahapa,huko siko.
Yaani kama hata kutafuta mawasiliano na makampuni hayo imekushindwa na ni IT Professional,kwangu mie nakushauri tulia na kuwa mpole.
Nenda pale Tigo au Voda wape wazo lako ili walichuje kwanza na kukushauri kabla ya kupeleka huko.