Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa shukranMuone rais wa majobless pro max.
Omba nafasi ya uteuzi kwa Rais wa Majobless Pro Max Intelligent businessman .Ety wakuu sina maisha sina KAZI
Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili
Matusi ruksa Haina shida
Anataka kuwa jobless maarufu kuwahi kutokea kwenye historia ya ujobless Jamii forum😁😁Mh. Rais Intelligent businessman pamoja na wajumbe naona kijana anahitaji umaarufu kwenye chama 😂
Selikavu Edo kissy dosho12, acha leo nimuite na Kijana Masikini 😂
Cha kumshauri ye atie nia ya kugombea kama kijana masikini ila aje na sera nzuri za kuweza kumpindua Rais wa sasa 😂Anataka kuwa jobless maarufu kuwahi kutokea kwenye historia ya ujobless Jamii forum😁😁
Au tumpatie Marry D hiyo kazi mfirisi, kama alivyomfanya Tajiri sina bayaCha kumshauri ye atie nia ya kugombea kama kijana masikini ila aje na sera nzuri za kuweza kumpindua Rais wa sasa 😂
Halafu huyu yupo hapahapa Dar siyo kama kijana masini yupo mbali 😂Au tumpatie Marry D hiyo kazi mfirisi, kama alivyomfanya Tajiri sina baya
Oh sorry Kijana Masikini 😅😅
Ajae nipo kiongozi.Mh. Rais Intelligent businessman pamoja na wajumbe naona kijana anahitaji umaarufu kwenye chama 😂
Selikavu Edo kissy dosho12, acha leo nimuite na Kijana Masikini 😂
Sema kijana anayohoja inabidi apewe nafasi ajielezee huenda akawa chawa wa chama 😂Marry alisema alikuwa na mtu hivi karibuni aliyekuwa anasubiri chechi ya mia nne kwa masaa mawili mi nikajua ni ndugu yangu kijana masikini 😅😅, kumbe hakuwa yeye et Harmful 😅
🤔🤔🤔Au tumpatie Marry D hiyo kazi mfirisi, kama alivyomfanya Tajiri sina baya
Oh sorry Kijana Masikini 😅😅
Hakika, mi naunga hoja ya kumpitisha kuwa mwanachama 😀Sema kijana anayohoja inabidi apewe nafasi ajielezee huenda akawa chawa wa chama 😂
Unaweza kumsaidia kijana awe maarufu?Ajae nipo kiongozi.
Inabidi kwanza CIA wetu Selikavu afanye upelelezi wa hii ID halafu akifikisha taarifa zake tutaamua na rais atamuidhinisha 😂Hakika, mi naunga hoja ya kumpitisha kuwa mwanachama 😀