Ety wakuu sina maisha sina KAZI
Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili
Matusi ruksa Haina shida
Hana baya kabisa ngoja afike hapa 😂, huenda kashaanza kazi huko anataka akija aje na taarifa kamili 😂Na CIA yupo makini na kazi yake 😆😆
Ndiyo mkuu, kwanza kabisa atangaze kumzimikia shangazi mmoja wa jf, baada ya kufungua huo uzi, nitamrudia kumwambia hatua inayofuata.Unaweza kumsaidia kijana awe maarufu?
Kuwa boda boda,baada ya kwenda veta.Ety wakuu sina maisha sina KAZI
Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili
Matusi ruksa Haina shida
Unamchoma mwenzio wewe 😂Ndiyo mkuu, kwanza kabisa atangaze kumzimikia shangazi mmoja wa jf, baada ya kufungua huo uzi, nitamrudia kumwambia hatua inayofuata.
Mwanasheria wapi wewe mfukunyuzi(mfukua nyuzi) 😂Kwenye chama me ni Mwanasheria 😃😃😃
Nishafukunyua kumbe kijana alikuwa boda boda kwa miaka mitatu 🤣🤣🤣Mwanasheria wapi wewe mfukunyuzi(mfukua nyuzi) 😂
We kitengo(CIA) mkuu 😂Nishafukunyua kumbe kijana alikuwa boda boda kwa miaka mitatu 🤣🤣🤣
Ataweza kuwa online jf 24 hours kama raisi wetu😂Mh. Rais Intelligent businessman pamoja na wajumbe naona kijana anahitaji umaarufu kwenye chama 😂
Selikavu Edo kissy dosho12, acha leo nimuite na Kijana Masikini 😂
Hii hawezi 😂Ataweza kuwa online jf 24 hours kama raisi wetu😂
Kwisha hana sifaaHii hawezi 😂