Ety wakuu sina maisha sina KAZI
Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili
Matusi ruksa Haina shida
Hana baya kabisa ngoja afike hapa π, huenda kashaanza kazi huko anataka akija aje na taarifa kamili πNa CIA yupo makini na kazi yake ππ
Ndiyo mkuu, kwanza kabisa atangaze kumzimikia shangazi mmoja wa jf, baada ya kufungua huo uzi, nitamrudia kumwambia hatua inayofuata.Unaweza kumsaidia kijana awe maarufu?
Kuwa boda boda,baada ya kwenda veta.Ety wakuu sina maisha sina KAZI
Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili
Matusi ruksa Haina shida
Unamchoma mwenzio wewe πNdiyo mkuu, kwanza kabisa atangaze kumzimikia shangazi mmoja wa jf, baada ya kufungua huo uzi, nitamrudia kumwambia hatua inayofuata.
Mwanasheria wapi wewe mfukunyuzi(mfukua nyuzi) πKwenye chama me ni Mwanasheria πππ
Nishafukunyua kumbe kijana alikuwa boda boda kwa miaka mitatu π€£π€£π€£Mwanasheria wapi wewe mfukunyuzi(mfukua nyuzi) π
We kitengo(CIA) mkuu πNishafukunyua kumbe kijana alikuwa boda boda kwa miaka mitatu π€£π€£π€£
Ataweza kuwa online jf 24 hours kama raisi wetuπMh. Rais Intelligent businessman pamoja na wajumbe naona kijana anahitaji umaarufu kwenye chama π
Selikavu Edo kissy dosho12, acha leo nimuite na Kijana Masikini π
Hii hawezi πAtaweza kuwa online jf 24 hours kama raisi wetuπ
Kwisha hana sifaaHii hawezi π