bigmen
Senior Member
- Jul 3, 2020
- 147
- 325
Habari Wana JF,
Nafahamu kuwa siasa haiangalii elimu uliyo nayo hata Kama we ni darasa la Saba una weza kuingia kwenye siasa. Mimi ni kijana nilie hitimu kidato Cha nne lkn kila siku za maisha yangu nimekuwa nikijiona sehem flan katika hii nchi japo kufikia hatua hizo imekuwa ngumu kwangu.
Nina mambo kadhaa ningependa mnisaidie ili kuweza kufikia hatua hizo ambazo naziota kila siku, Mambo yenyewe ni Kama vile :-
1/ Aina gani ya vitabu vya kisaikolojia na kisiasa naeza kusoma vikanikuza kiakili, kifikra, na niweze kunifahamu siasa overall.
2/ Njia gani naeza kupita nifanye nini kila siku ili kujongea kwenye hatua nazo hitaji kuzifikia.
3/ Niwe mtu wa aina gani kwa jamii inayonizunguka ili kujenga heshima na kupata imani kwa wanao nizunguka.
4/ Uongozi ni wito, japo si kila kiongozi au mwanasiasa ana wito, je najuaje Kama Nina wito kweli.