Furaha ya muhusika ipo ndani ya muhusika mwenyewe ila tatizo wewe hujaikubali furaha yako sasa unataka furaha kutoka nje, so kweli tafuta mtu akukojoze haswa mpaka ulegee na hakika utaanza kugain pole pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Furaha Yangu nikiiunganisha na kitu au mtu...siku.kikikosekana Nini kitatokea
October 28 Imepita 😏😐😏[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Mkuuu imenichekesha Sana.
Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Hakika, akijua chanzo Cha Hali hiyo atapata ufumbuzi.Inabidi ujue chanzo cha tatizo lako,(underlying cause) then ndo utafute suluhisho. Jiulize mwenyewe hio hali imeanza lini, unaweza Pata chanzo cha tatizo lako.
Pia unaweza waona psychologist au viongozi wa kiimani wakakusaidia.
DuuuuhMwanangu tambua DUNIA ya leo ndivyo ILIVYO
Achana na kuwaza kufarijiwa
Mapenz ??
HUU NI ukoma KAMATA DEMU CHUKUA MUWEKEE MWAAAA
CHA MSINGI TAFUTA PESA USIPALE KOMAA HASWAAA
JICHANGANYE KJN
PIGA MISHE YEYOTE
MIE BINAFSI WANAWAKE SIJI KUWAAMINI TENA
ZAMA NA MABAHARIA SEHEMU YEYOTE KUWA HATA FUND ANZA NA SAIDIA USIJIFUNGE
WANAWAKE HAWANA UTAMU UTAMU TUNAO SISI KULE TWAFWATA UTELEZI TUU
UKIPATA 50 KAMATA MZUR,UKIPATA BUKU TANO PIGA SHOW TIME,UKIPATA JERO NUNUA HISPO PIGA NYETO
CHA MSINGI SAKA PESA
Mimi nikiwa nina hiyo hali hata kutoka siwezi, natoka tu ikiwa chanzo cha tatizo ni hapo home nilipo, hapo huwa natamani hata kuhama nyumbaTafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Mkuu natumai upo.pouwa...kabisa...Nimefurahi kuona comment yakoOctober 28 Imepita [emoji57][emoji52][emoji57]
Bila Kupata Mrejesho [emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]
Nimeumia Sana Moyoni [emoji10][emoji41][emoji848]
Kama Ule Wimbo Wa Zuchu
Mkuu Sina depression...Au sononi..Bali Nina sikitiko ndani ya roho coz ya Mambo mbalimbali yanayoniandama..."Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress..."
Hapana. Labda kama unaongelea stress za kawaida tu siyo clinical depression au clinical stress. Haya mambo yana trigger nyingi na hayawezi kuwa na jibu moja kwa sababu kila mtu yuko tofauti na mwingine. Siyo wote wanaweza kuondoa stress/depression kwa kuangalia muvi za Kikorea ambazo hazitafsriwa, kunywa maziwa na kujifungia ndani [emoji16][emoji16][emoji16]
BasiMkuu natumai upo.pouwa...kabisa...Nimefurahi kuona comment yako
Bora nimegundua kitu aiseeeNishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Na wewe pia una ugonjwa kama huo?Bora nimegundua kitu aiseee
Shanga Sijawai tumiaBasi
Jitahidi Walau [emoji3]Tupate Mrejesho Hasa Tuanzie Mwili
Umepungua, Usiende Mnadani![emoji2955][emoji58]
Halafu Haitakuwa Vibaya [emoji2956][emoji7][emoji8]Tukijua Baada Ya Shanga
Ulikuwa Mzito Sana
MB =(Mjumbe Wa Bunge)
[emoji2956][emoji8][emoji39][emoji7][emoji4]
NdioNa wewe pia una ugonjwa kama huo?
Acha Kwenda MnadaniShanga Sijawai tumia
.nlikua Nauliza TU.mkuu..Ila mwili nimepungua kilo Moja TU mkuu..ila sijakata tamaa