La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 471
- 737
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu
Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game
Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka
Akaseti mwa 2099
Massage zilivyo ingia zikaenda kwenye huo mwaka halafu sizioni kabisaa inbox ila juu ya simu inaonyesha kuna massage
Nikajaribu kubadili mwaka uliopo haziji inbox ila baada ya kubadili zikiingia msg nyingine inaonyesha zipo kadhaa pamoja na hizo zisizoonekana
Najiuliza zimeenda wapi
Au labda nisafiri kwenda .2099 ndio zitaingia inbox 😅😅😅