Nawezaje nikapata demu Mzungu??? Msaada tafadhali

Aliliwa kiboga?
 
Sasa mkuu mapesa yote hayo unayomiliki...yanini kuja kuhangaika mitandaoni kutafuta madem wa kizungu?
Hapa nataka kuendelea kufuatilia huu mtanange nani atageuka mshindi..

Maana kunapo elekekea ni kutamu..
Hahaha Jana nimetimua wafanyakazi wawili..ungekuwa na akili ningekusaidia kuondokana na shida za kukaa kwa shemeji..emty set kabisa

Hivi bado unafanya ujasiriamali wewe tahira

Ndo tatizo la jf hili,mbuzi kama wewe unaropoka tu bila kujua unaongea na nani,kwa pesa nilizonazo nakulisha wewe,mama ako,baba ako,mjomba wako,Dada ako,mke wako,watoto wako nawajengea nyumba nyie kazi yenu iwe kula na kunya tu
 
Wazungu kweli wajinga, yaani rasta tu zinamtoa ufahamu, nakumchengua kiasi hicho? Nashukuru wademu wetu wa kiarabu hawako hivyo na ndo mwanawake ghari zaidi duniani
Wewe hebu badilisha kauli hao mademu wa kiarabu watu kila siku wanaruka majoka nao tena bureeeee kwanza wana njaaa sana bora ata mwantumu wangu anaweza kuwa ghali kuliko hao wanao enda kujazana coco beach juma pili.
 
Vijana wa Arusha wamefanikiwa kujenga nyumba zao kupitia njia hii
 
mm siwapendi wazungu.

ngozi zao zinanuka shombo na miili yao yabaridi,haina joto kama watu weusi.
 
Ndo tatizo la jf hili,mbuzi kama wewe unaropoka tu bila kujua unaongea na nani,kwa pesa nilizonazo nakulisha wewe,mama ako,baba ako,mjomba wako,Dada ako,mke wako,watoto wako nawajengea nyumba nyie kazi yenu iwe kula na kunya tu
Jumlisha na kuwapiga paipu.
 
Uko maeneo gani dsm nikuelekeze walipo?
 
Hahaha Jana nimetimua wafanyakazi wawili..ungekuwa na akili ningekusaidia kuondokana na shida za kukaa kwa shemeji..emty set kabisa
hebu nisaidie mimi mkuu kama kuna fulsa aisee. maana nimechoka kukaa bila hata kazi
 
Mwambie mkuu hawataki ujanja ujanja ktk mahusiano
 
Hapa labda tuzungumze na da Mange tusikie atasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…