Nawezaje nikapata demu Mzungu??? Msaada tafadhali

Nawezaje nikapata demu Mzungu??? Msaada tafadhali

Yupo rasta flan dereva tours Arusha alitaman mwanamke wa kizungu basi siku wakamtumia tiket akaenda Ujeruman alipofika huko akapokelewa vizur wakampeleka kwenye jumba fulan sehemu za Mashambani wakaanza kumla kwa zamu jamaa mpaka hamu ilipoisha jamaa hoi.
Kaliwa nani sasa????
 
Back
Top Bottom