Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ja hakuna mpango wa kupeleka mafanikio ya mtandao huu kwa umma kupitia kuuza hisa kadhaa na sisi wengine proudly tupate nafasi kuwa sehemu ya JF?
Anza kwa kuchangia kwanza uendeshaji wake,mkuu hata elfu tano tu umeshindwa hisa ndo utaweza?
Au umetumwa na wakuu wa magamba ili muitafishe?
Tunatosha tulio na hisa,wata kao ongezeka zaidi ni virusi na spys,...we don't need them!
Changia JF,mkono mtupu haulambwi
Haya bwana, ilikuwa ni swali tu. Basi hata njia za kusaidia elfu mbili ,elfu tano uwekwe wazi, nina hakika wenye kujua umuhimu wa JF wapo wengi na watasaidia, mimi nikiwa mmoja wapo. Vinginevyo kama mmetosha, haina shida. Na kuhusu JF yetu, una maana ya CCM? Mimi sina taarifa yoyote, mimi ni mwanachama tu niliejaribu gombea ubunge, ikaishia hapo. Na Chadema wenye hali kama yangu najua mpo wengi humu - mnakipenda chama au ni wana chama lakini hamtatendewa haki mkiulizwa mtoe maelezo ya yanayotokea kwenye chama chenu unless muwe na nafasi ya uongozi.
hapa patamu..... na hoja nzuri but again kwa nini umeweka hii thread kwenye siasa? is this politics au unataka majibu ya kisiasa.?
Anyway naelewa sababu watu wengi tuko kisiasa zaidi so usishangae hata majibu ya wachangaji wengi yakawa ya kisiasa.
Namba kutofautiana na wewe kuchangia sio lazima kuchangia kwa mshiko tu. Sasa tukitaka michango ya mshiko tusimshange Jk anayezunguka nchi mbali mbali kuomba misaaasa ya fedha.
Nimewai kutoa wazo fulani kwa jf management crew ambalo naamini wangelifanyia kazi ulikuwa ni mchango tosha kwao na kwa taifa. But again msisitizo wao zaidi uko kwenye mkono mtupu haulambwi
Tuendelee kukubali kutofautiana kwa hoja.
Ja hakuna mpango wa kupeleka mafanikio ya mtandao huu kwa umma kupitia kuuza hisa kadhaa na sisi wengine proudly tupate nafasi kuwa sehemu ya JF?
Haya bwana, ilikuwa ni swali tu. Basi hata njia za kusaidia elfu mbili ,elfu tano uwekwe wazi, nina hakika wenye kujua umuhimu wa JF wapo wengi na watasaidia, mimi nikiwa mmoja wapo. Vinginevyo kama mmetosha, haina shida. Na kuhusu JF yetu, una maana ya CCM? Mimi sina taarifa yoyote, mimi ni mwanachama tu niliejaribu gombea ubunge, ikaishia hapo. Na Chadema wenye hali kama yangu najua mpo wengi humu - mnakipenda chama au ni wana chama lakini hamtatendewa haki mkiulizwa mtoe maelezo ya yanayotokea kwenye chama chenu unless muwe na nafasi ya uongozi.
Haya bwana, ilikuwa ni swali tu. Basi hata njia za kusaidia elfu mbili ,elfu tano uwekwe wazi, nina hakika wenye kujua umuhimu wa JF wapo wengi na watasaidia, mimi nikiwa mmoja wapo. Vinginevyo kama mmetosha, haina shida. Na kuhusu JF yetu, una maana ya CCM? Mimi sina taarifa yoyote, mimi ni mwanachama tu niliejaribu gombea ubunge, ikaishia hapo. Na Chadema wenye hali kama yangu najua mpo wengi humu - mnakipenda chama au ni wana chama lakini hamtatendewa haki mkiulizwa mtoe maelezo ya yanayotokea kwenye chama chenu unless muwe na nafasi ya uongozi.
Hivi RA ndio alinunua Habari Corporation?
Na wewe ni nani unataka kuinunua JF?
Achana na wanaoleta habari za CHADEMA au CCM hapa.
Kwa taarifa yako, mmoja wa OWNER(mie huwaita wadhamini) wa JF ni William Malecela ambaye ni member wa CCM waziwazi......
Kama utataka kununua kipande cha JF, ningelipendekeza uwasiliane na Max Mello au W. Malecela, Steven Diallo, na wengine ambao kama upo Dar, sidhani kama ni shida sana kuwapata hao wadhamini wa JF.
Vinginevyo kuja hapa JF na kumwaga hilo swali, unataka tu wakushambulie na mambo ya CCM Vs Chadema.
Haya mambo sidhani kama huwa yanaongelewa BARAZANI. Mnaongelea ndani na mwishoni inatoka tu habari kuwa Mwana CCM mwingine amenunua hisa za Jamiiforums.