Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee anatafuta kiki nyingine ile ya mwanzo imebumaWakuuwe wewe una nini bwana, acha sifa za kijinga
Kama wewe wapoooo!Unamaana yale majambazi yaliyovamia Clouds FM au?
Hata Bensanane mlimwambia hivyohivyo.Aache kutafuta kiki
Tuache ujinga kidogo,kila mtu akiamuliwa kuuwawa kwa namna yoyote ile inawezekana tena kwa dk mbili tu. Tunashukru nay kututaarifu sisi washabiki zake. Tutamlinda na dunia pia itamlinda. Wewe kalale na kiki zako za hovyo hovyoNajiuliza, huyu Ney akihitajika kuuwawa kweli hivi itachukua dakika ngapi hadi roho kumtoka? Tuache utoto, na sipendi kufikiria kwa kutumia akili ndogo ya mtu kama Ney.
Mimi naona hata raisi amejishusha tu kwa huyu mpuuzi. Wimbo hauna maadili hata kidogo. Haya enendelea kumpamba huyo basha wako na mimi niendelee na Bashite wetuHakunaga kiki ya kifo acha ubashite
Wauwaji wakubwa nyie.Aache kutafuta kiki
Rais wako amesema anapenda uwo uhuni uliyoimbwa.HOFU TU, akome kuimba nyimbo za kihuni
Haya wewe na Bashite muueni kwa hizo sekunde 30 mlizopanga.Najiuliza, huyu Ney akihitajika kuuwawa kweli hivi itachukua dakika ngapi hadi roho kumtoka? Tuache utoto, na sipendi kufikiria kwa kutumia akili ndogo ya mtu kama Ney.