Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Alifikiri alipoambiwa,nyimbo yako nzuri na mkulu na mpiga zumari wake(Mwakyembe) alidhani walikuwa wanamaanisha? tena kama walikupa kitu ukala au ukanywa jihesabu umekwishaaaaaa.
Mimi nilimshauri asiende. Ingekuwa mimi nisingeenda nione watakachonifanyia
 
Hamna cha ukubwa hapa, hii naona ni kiki tu, ama kama alikuwa na wabaya wake sasa wanatafuta pa kumpatia labda.
 
Kama ....ume-note vizuri Bashite amekuwa ni kiumbe mwoga sana siku hizi .....any further misconduct will eat him alive....he knows that..
The devil in him invites problem,anapenda matatizo, pia kumbuka matatizo yana tabia ya kukaribishana.

naamini hatukosi finger prints za Bashite kwenye hivyo vitisho alivyopata True Boy.
 
Tusidharau anachosema inawezekana ikawa ni kweli mifumo inafanya kazi zake.
 
Maneno aliyo andika staa wa muziki bongo anaetamba na kibao chake machachari cha [HASHTAG]#WAPO[/HASHTAG] yanatia hofu na wasiwasi juu ya usalama wake! Vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kumuita kwa mahojiano kwani hata msaidizi wa mwenyekiti wa CHADEMA taifa Ben Saanane alianza kutoa taarifa za kutishwa mpaka pale alipotokomea kusiko julikana hadi Leo hii!
 
Hata UKIPOTEZWA hakuna atakayejari...
Ila ni vizuri umetupa taarifa Watanzania wenzako..!
Mungu Ibariki Tanzania
 
Akome, nani alimuambia kuropoka?? Aende akamtukane baba yake, na si kututukania rais wetu wa mioyoni mwetu. Ni funzo kwa wale mnaodharau mamlaka, na ndiyo maana hata Mungu aliteketeza kizazi pale ambapo kilionesha kumdharau! H
 
Akome, nani alimuambia kuropoka?? Aende akamtukane baba yake, na si kututukania rais wetu wa mioyoni mwetu. Ni funzo kwa wale mnaodharau mamlaka, na ndiyo maana hata Mungu aliteketeza kizazi pale ambapo kilionesha kumdharau! H
Come on you can think more than that
 
Japo ni vizuri kusikiliza mjinga zaidi ya mwerevu pia ni jambo la busara sana kama unafatilia history ya huyo anayesema Inawezekana si kama unavyodhani ww ikawa ni kama anavyodhani yeye ukadhani ni threat kumbe mwenyewe anatafuta kuongeza followers IG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…