Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Ee ngonjwa nini? Kwa nn mkiambiwa ukweli mapovu yanawatoka
Akome, nani alimuambia kuropoka?? Aende akamtukane baba yake, na si kututukania rais wetu wa mioyoni mwetu. Ni funzo kwa wale mnaodharau mamlaka, na ndiyo maana hata Mungu aliteketeza kizazi pale ambapo kilionesha kumdharau! H
wewe mgonjwa nini? Kwa nini mkiambiwa ukweli mapovu yawatoka? Mtakandamizwa mpk lini? Kweli we hv a long way to go. Kwa upopoma huu duuuu hatareeeee sana
 
Bashite acha kutishia watu maisha weka vyeti.
 
Kick nyingine? Elibariki wakuhue kwa lipi?
 
Mkulu alivyo ruhusu wimbo upiigwe umekosa nguvu .sasa naona ney anafuta pakuhemea. Toa nyimbo achana na kick baba
 

Msanii wa muziki wa hip hop ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Wapo’ Nay wa Mitego amedai kuna watu wanataka kumpoteza.

Wiki moja iliyopita rapper huyo alikamatwa na jeshi la polisi kutokana na wimbo wake mpya ‘Wapo’.

Hata hivyo Rais Magufuli alitoa tamko la kuachiwa kwa msanii huyo na kusema wimbo huo hauna matatizo.

Rapper huyo Jumatatu hii amefunguka kwa kudai kuwa kuna watu wanamfuatilia kutaka kumpoteza.

“Usalama wa maisha yangu umekua mdogo kwasasa, Wanapanga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa kwenye hii dunia.,” aliandika Nay wa Mitego Istagram.

Aliongeza, “Nipo tayari kwa chochote wanacho panga kufanya Coz sijajipanga kupambana nao, Mimi ni mwana muziki si vingine. Kwa chochote kitachotokea familia yangu itakua na chakuongea. Siwezi kuhama nchi wala kukimbia nitafia hapa hapa. Na siko tayari kupindisha chochote.! nyie Ndo mtanilinda. Sina Mlinzi na sitarajii kua na mlinzi. OnlyGod#Wapo,”

Rapper huyo hakuweka wazi ni nani anataka kufanya hivyo.
 
Do maisha bwana, unanikumbusha zile hadithi za ukimfumania mke wako usimfanye chochote msamehe, bac mwanamke atajistukia hadi ataikimbia ndoa mwenyewe, kifupi ni kwamba utavuna ulichopanda sisi ni wasikilizaji tu, umezoea kuwatukana bongo movie
 
acha kupagawa bwana mdogo...izo ndoto za maluweluwe zitakuandama mpaka akili ikukae sawa....sawa??
 
Aende retreat, atulie upepo upite!, na asitoe tena wimbo wa aina hii karibuni!
 
If at all true, this is very disappointing.... This is the free nation, with freedom of speech and expression.....
Ney hawezi kutoa Maneno Kama mwehu, Kuna kitu amekiona...
Strictly unacceptable.
 
Dawa ya mchawi mpe mwanao akulelee namshauri akinbilie kolomije uhamishoni
 
Make sure hupiti daraja la mkapa kwa pikipiki kamchezo kapya ka kuua baada ile ya ruvu kuwa maarufu.. Usijifunike kichwa na helmet kisingizio wanashindwa kukutambua... Kuna wimbo Wa Bob imba ney unaitwa who the cap fit let them wear it.. Utranslate tu... Mwakyembe vipi ulituaminisha uongo! Nilihisi jamaa kakasirika ila kajizuia kuonesha hasira..
 
Hilo nililijua tangu mwwnzo. Kosa la kwanza ulilolifanya ni kukubali kwenda ikulu. usingeenda kwani wanaweza kukutilia sumu inayoua taratibu. Lakini usifanye kosa la pili la kutoomba ushauri ikitokea ukaitwa polisi. Kila kitu unachokiona kinaweza hatarisha maisha yako kiweke wazi bila kificho hii itasaidia wao wauaji kuona kazi ngumu. Tuhabarishe kila kitu ili siku ikitokea umedhurika watu wajue mbivu na mbichi
 
Guys the government can't do such a foolish and gibberish thing to kill a guy who had a conflict with it. Unless otherwise, he would have stated ,clearly who what kill him.
Sometimes , we need to keep out our government from such crazy issues and use our intelligence to analyse any information we come across with .

Also, anyone should be aware that if the government needs you to be nailed down they won't tell you nor get into a crush with you so as to avoid any finger pointing towards it.

Probably, his competitors in music industry wishes to use that arrest and talks he had with police and our president respectively to put him down.

Though, those who are closer to him they should give him some secret security follow up to realize who is behind such information he shared because, seems to be a bit strange!

But, our government shouldn't be involved to such a shit of a piace of information / or a situation.
 
Back
Top Bottom