mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Ee ngonjwa nini? Kwa nn mkiambiwa ukweli mapovu yanawatoka
wewe mgonjwa nini? Kwa nini mkiambiwa ukweli mapovu yawatoka? Mtakandamizwa mpk lini? Kweli we hv a long way to go. Kwa upopoma huu duuuu hatareeeee sanaAkome, nani alimuambia kuropoka?? Aende akamtukane baba yake, na si kututukania rais wetu wa mioyoni mwetu. Ni funzo kwa wale mnaodharau mamlaka, na ndiyo maana hata Mungu aliteketeza kizazi pale ambapo kilionesha kumdharau! H
