Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Kwahii serikali ya KIKI na MABUNDUKI wala sishangai hata anayosema ney
 
i knew it
Makomeo ni mnafki, yeye alifikiri kweli wameipenga ngoma ya WAPO, na lazima vijana wa bashite wammendee
Ila bora ame publish ili kila mtu ajue kinachoendelea ikitokea akapata tatizo, ndugu zake watajua wapi pa kuanzia
 
Naona intellidencia ya tz sasa haina maana. Inaplot Mauaji kirahisi2 mpaka target mwenyewe anajua tiari anaenda uwawa!?
 
Mwanaharakati wa kweli always stand strong and waits for occurance, get load of!
 
Kumbuka Ney kamgusa bashite na kamchana wazi wazi.
Nape alijaribu ..kidogo tu akagaragazwa kibabe..na kabla vumbi halijatulia akaibuka dogo (kwa namna ya kupiga yaliyomkuta waziri wao).

Baada ya kutoa 'kibao' chake, chenye mistari ya kuchoma mioyo ya bashite, pingu zikaibuka ghafla na police escort ya nguvu ikiwekewa na naksi za press statement ya polis kuwa tunaye (hupigwi pingu kama hujawaudhi wenye nchi), Basata nao wakamrushia rungu la hatari...

Nay akaokolewa na hasira ya umma. Vijana wasanii wakatupa mikuki mikali dhidi ya serikali mitandaoni. Umma ukaja juu hali ikawa tete ghafla.

Mara wimbo wa Ney ukageuka asali ghafla...ukapendwa hadi na mkulu, tena Waziri Mwakyembe akatumwa kwa waandishi wa habari akauza sura na tabasam...alishangaza umma. Wenye serikali wakajidai hawahusiki. Ilikuwa 'bahati mbaya tu.'

Ghafla mialiko ya Ikulu na Dodoma ikawa mingi. Unadhani walienda kumwambia nini huko kama sio "watch it?" Au "SHUT UP?"
Jiongeze ndugu yangu...jiongeze tena afu uniambie kama walienda kumpa Ney mkono wa pongezi kisha wakampa na platform ya kuusambaza zaidi wimbo wake.

Na je Ney akikataa rai aliyoitiwa na serikali huku na kule yatampata yepi na hali hawawezi ufungia 'wimbo pendwa' mara mbili mbili?

Tusifanyane mazuzu humu jukwani.
Unafikiri wimbo wa Ney una impact mpaka sahivi? Labda kwenu nyie mlio mitandaoni lakini nje na vijijini shida zao wala hazihusiani na Bashite wala Ney. Na sahivi ndo kwanza bunge limeanza, sahau tena habari za huyu kichaa. Atauwawa na siasa ya Tz make matukio Tz ndo kiboko ya huu utoto wa hivi, mpaka July tena.
 
Unafikiri wimbo wa Ney una impact mpaka sahivi? Labda kwenu nyie mlio mitandaoni lakini nje na vijijini shida zao wala hazihusiani na Bashite wala Ney. Na sahivi ndo kwanza bunge limeanza, sahau tena habari za huyu kichaa. Atauwawa na siasa ya Tz make matukio Tz ndo kiboko ya huu utoto wa hivi, mpaka July tena.
Sasa wanahangaika naye wa nini kama wimbo hauna impact?
Police escort, mialiko ya ikulu na dodoma kwa kitu kisicho na impact?
Ukifanya hayo kwa kitu kisicho na tija we ndo twakuona mpuuzi.

Na hii ya kusema bunge limeanza kwa hiyo inaama ndo mchezo ya maisha ya matukio.
 
You have spoken as if you have ultimate security with your life and you don't fear anything! By the way that is our way! Don't let others go first
Don't scare children leave them speak
 
Bashite ni katili sana,yule ni mafia.
Umafia upi huo alionao Bashite ? Wacha kuharibu title za watu mkuu ..huyu angekuwa kwenye familia ya mafia bila shaka baba yake mzazi angempiga risasi kwa mikono yake mwenyewe
Ungesema kibaka ningekuelewa
 
Huyu si amesema atatoa Remix ya Wapo yeye na Mwakyembe na mkuu wa kaya au? Nani anamtisha, na kwanini?
 
Nilishangaa kuwa mkuu wa kaya kaupenda ule wimbo na ameruhusu upigwe, na Dr Mwakyembe anachombezea kuwa raisi anaupenda sana ule wimbo! Mpaka sasa nina mashaka makubwa juu ya kusifiwa kwa ule wimbo na kauli za kuupenda! Nikaona press conference na Nay anafurahia akiwa na Mwakyembe!!
Labda ni kweli wanaupenda, time will tell!
 
Huyu ilikuwa apotee kama Ben kosa ni kumkamata na kutangaza hakuwa na jinsi. Anapoteza muda watu wasahau afanye yake. HAWEZI KUMUACHA HUYU KIJANA HAI.
 
Anasema eti hiyo first version haikupaswa toka ilivyotoka...

Kwamba kuna watu waliivujisha...


My TAKE...

huyu dogo huenda kweli alipokea death threats.


...mwenye taarifa zaidi tafadhali...
 
Hii ni baada ya kutumiwa ujumbe mfupi na kupigiwa simu na watu wasiojulikana wakimtaka ahame nchi maana alichokifanya si kidogo .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , hili jambo lisichukuliwe poa , kama Nape alitishwa bastola , je kwa huyu Nay ?
 
Back
Top Bottom