Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

hivi ile nyumba nyingine alisema ndani ya FNL ya EATV kuwa mwishoni mwa 2014 ataizindua mwenyewe anaiita "ikulu" tayari alishaizindua!?
 
Hizi ni taget za kufkia malengo yake... ney anajua anachofanya! Anachofanya ni kufuatilia maisha ya watu wa wa imani hizi za kishetan na kucopy baadh ya matirial kwa ajil ya kaz zake. Kinachonifurahisha kutoka kwake ni kwamba project yake imefanikiwa............ila imekua rahis kwake kutokana na ufinyu wa tafakufuri vichwani mwa wa tanzania.
 
Back
Top Bottom