Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Katika wasanii ambao watachekwa wakifulia huyu mmojawapo, maana amekuwa akiwazodoa wenzake sanaItafahamika tu.
kwani wasanii sanaa yao na maisha yao ni sawa?siamini kuwa kweli king majuto mwehu vile au kingwendu chepe vile!alichoimba si maisha yake tukubaliane hapo tu japo wapo wasanii wanaojiimba!Si huyu huyu alisema mungu wake kila akimwomba chochote anampa?? Aliimba wimbo fulani hapa kati akadokeza na kwamba anataka kugungua kanisa ili afanyie biashara! Au ndo ameanza kuwekeza kwenye huo ujenzi?? Any way mungu wake ndo anamjua!
Angeweza kusema "teke". Ama "msukumo" kuwa fasaha zaidi. Lakini hata hivyo "Kiki" inaeleweka. Ndio kuazima neno toka lugha nyingine na kulihalalisha. Hiyo inakubalika. Tumewapa Waingereza neno "Safari". Wanalitumia sana jinsi lilivyo. "Shule" pia sio yetu, ni kutoka kijerumani "Schule". Hili linajulikana na wote.Bendera, bunge, jamhuri, Askari, afande, yote hayo tumeazima na kuyaswahilisha.Yote hayo mnayajua.Kiki
(Maana tunaongea (kiswahili)
Kwani kanisa ni nyumba takatifu????sehemu tu za mataperi kama kina LusekeroAlikufuru huyu! Eti aanzishe kanisa alifanyie biashara! na bado!
ni Teke...hivi ni kiki au kick?