Nay Wa Mitego ajifilisi, sasa arudi kutembelea bajaji

Nay Wa Mitego ajifilisi, sasa arudi kutembelea bajaji

14.October ana project uyu mwehu naona anaitafutia kiki mwendawazimu kama Nay hawezi kufulia kirahisi ivyo.
 
Si huyu huyu alisema mungu wake kila akimwomba chochote anampa?? Aliimba wimbo fulani hapa kati akadokeza na kwamba anataka kugungua kanisa ili afanyie biashara! Au ndo ameanza kuwekeza kwenye huo ujenzi?? Any way mungu wake ndo anamjua!
kwani wasanii sanaa yao na maisha yao ni sawa?siamini kuwa kweli king majuto mwehu vile au kingwendu chepe vile!alichoimba si maisha yake tukubaliane hapo tu japo wapo wasanii wanaojiimba!
 
Ney wa mitego hawezi kufuria kirahisi hivyo huyu jamaa ana akiri ya maisha san
 
Kiki
(Maana tunaongea (kiswahili)
Angeweza kusema "teke". Ama "msukumo" kuwa fasaha zaidi. Lakini hata hivyo "Kiki" inaeleweka. Ndio kuazima neno toka lugha nyingine na kulihalalisha. Hiyo inakubalika. Tumewapa Waingereza neno "Safari". Wanalitumia sana jinsi lilivyo. "Shule" pia sio yetu, ni kutoka kijerumani "Schule". Hili linajulikana na wote.Bendera, bunge, jamhuri, Askari, afande, yote hayo tumeazima na kuyaswahilisha.Yote hayo mnayajua.
 
Hahahah "jana ilikuwa zamu yao leo imeshakula kwao"
 
MUNGU hatukuumba na magari...sioni kipya ila wazo kuu wangejifunza kuwekeza kwenye miradi
 
Back
Top Bottom