Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Haya sasa Kumekucha, habari zimefichuka siri si siri tena.

Baada ya Gigy Money kulalamika kwenye baadhi ya Media kuwa alilipwa sh. elfu 20 baada ya kuwa Video queen kwenye nyimbo ya Nay wa Mitego Nay ameamua kumjibu leo kupitia soud Brown Clouds Fm.

Nay amesema kuwa kwanza yeye hakumuita Gigy kwenye video yake directior ndio alimuita na yeye Nay alishauri tuu kuwa Gigy angefaa kwenye kila kipande cha Demu ana sura mbaya ila ana bonge la ta....o!

Gigy alisema yeye hakuambiwa kama angewekwa kwenye kipande hicho alitegemea kuwa kwenye kile kipande cha wanafunzi wa chuo na alishtuka kuona hayupo pale ndipo Nay kusema kuwa Ukweli kipande cha wanachuo Gigy kisinge mfaa maana Gigy na shule wapi na wapi?

Nay amekazia kuwa ni kweli Gigy ana sura mbaya ila ndo hvyo kajaliwa naniii na kujichetua kwake ndo kumefanya ajululikane lakinu sio Sura!

Ikumbukwe kuwa Gigy kawa video queen kwenye video nyingi na aliwahi kuhost kipindi cha Friday night EATV..

 
Mahitaji yakizidi uwezo, mwili hutumika
 
Subiri majibu ya Gigy kama hajasema ney ana kinanii. Huyu binti anajikutaga fyatu na ney ni fyatu pia
 
Mkuu bora umesema huyu hakuwai kuwa host bali alikuwa anaitwa tuu pale kama ma modo wengine kupendezesha lakini alijikuta ana vuka mipaka na kujitangazia kuwa yeye ni host na pia alikuwa ana pitiliza sana akapigwa stop....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…