Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Sio mbaya kivile jamani sema Tu anakurupukagaaa
 
Kuna ujinga mwingi nchi hii ndomana kutwa tunalalamika Sana lakini hatuchukui hatua!! I will be the president of this nation very soon
 
AFU ANA MIAKA 18 ndio maana misiba yao inakuwa mapema mapema wanaifaidi dunia tokea utotoni
 
Hahhaaa nimesoma Naye mivinjeni primary kurasini jina lake zawadi but anijiita gift now mazingira aliyo kulia
yanafanana na vituko vyake
Ni mtoto ambaye ana control ya wazazi kabisa isitoshe mzazi wake mmoja dingi ayupo ndio kabisaa
Yani ni mtoto wa uswahilini fuatilia ata ngeli anaforce kama Dada Ake wa igunga yule
 
Hihihii,halafu hata hajui kujieleza.Demu fulani hivi wa kiswahiliiii
 
Back
Top Bottom