NEREA
Senior Member
- Feb 19, 2016
- 164
- 148
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We Utakuwa Unapenda 0715
Duuh Weka Picha Tuhakikishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We Utakuwa Unapenda 0715
Duuh Weka Picha Tuhakikishe
Ana kremishaHuyu dem anajaribu kutumia notes za masogange kutafuta maisha kupitia mwili wake...
Hamna kitu wala mvuto paleHata hill tako wanalomsifiaga mi silioni hapo
KWELI MADADA HAMPENDANIHamna kitu wala mvuto pale
Sura nzito km ugali wa jelaGigy anapenda umaarufu wa kinguvu na huko kujiacha uchi na lisura lake zito ka nini?
Uso mrefu km poromoko la mtoBinafsi yangu,hiyo siku niliyoonyeshwa sikuamini..hihihiii wacha zile picha anapiga tumbo analibana sana..ana 'kifriji'cha haja....huo Uso sasa ajajajajajajaa
Penye ukweli lazima usemwe sio kusifia uongoKWELI MADADA HAMPENDANI
Teh teh tehUso mrefu km poromoko la mto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sura nzito km ugali wa jela
Kosa sura upate ZegembeKuna Siku nilimuona pale bamaga akiwa na vibinti f'lani hivi viwili pamoja na mwandishi wa GPL nusura nimfuate.. Tako analo kweli acheni kupotosha hapa... Mtoto ngozi yake ni nzuri na laini sana, ingawa sura yake ipo kama walivyo wasichana wengi wa mbeya
harafu nina maswali mengi juu yakoKosa sura upate Zegembe
Kitu La Gurl bn, balaaaMkuu Umesema Chorokee.
Huyo Chorokee ni kawaida tu
Nenda Ruanda maana baraaaa tupu
kumbe mnyaki!! naomba tukae kama kamati tumtimue cc Heaven SentGigy tako la kawaida,analizoom tu....sura nayo ya mjomba,na kidekio kapitisha miguuni kimegoma,huyu mnyaki anatuaibisha wenzie
Hahahaa, Mwenyekit wa kamati muite ....kumbe mnyaki!! naomba tukae kama kamati tumtimue cc Heaven Sent
anaqualify hapa kweli ?Mahitaji yakizidi uwezo, mwili hutumika