mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 765
duu.. haahahh eti dish liliyumba ..Sito shangaa akisema Ney alimtaka na akamkataa au alishatembea nae na hana lolote...! Huyo binti dish liliyumba muda mrefu......
Teh teh sitaki ugomvi na watu mimiKwann asiende moshi
Teh teh kama kuna janki wa kizazi hiki hamjui D a$$ atakua amelelewa ndani ya msikiti au kanisa'cherokee da A.sS' teh teh teh mjomba ben inaonekana uko vizuri sana kwenye hizi mambo....
hahahaa hatar sana..Teh teh kama kuna janki wa kizazi hiki amjui D a$$ atakua amelelewa ndani ya msikiti au kanisa
Sura nzito atiKwan wasichana mbeya ndo sura zao zikoje??,,,acha dharau mtoto wa kiume
Ha ha ha ha Nimecheka dah!ha ha haha ney si wa kukaa naye karibu sababu kukueleleza kupo nje nje
mashalahu