Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Hana sura mbaya au shape mbaya in such... Uzuri au ubaya wa sura inategemea na mtu vigezo vyako

Kimsingi tu anatabia mbovu mbovu kama yupo foolish age alaf hormone zimemuhormonize vibaya
 
Kwanini anaitwa Gigy Money, anapesa nyingi Sana?
 
Binafsi yangu,hiyo siku niliyoonyeshwa sikuamini..hihihiii wacha zile picha anapiga tumbo analibana sana..ana 'kifriji'cha haja....huo Uso sasa ajajajajajajaa
Inaweza kuwa zamda kamzidi.ddah zamda mmoja namjua saizi yuko mtwara ni shiddah kajaaliwa mtoto mashallah.sa sijui ndio wewe .kama ni wewe ni kweli umemfuika tena saaana.
 
Kuna Siku nilimuona pale bamaga akiwa na vibinti f'lani hivi viwili pamoja na mwandishi wa GPL nusura nimfuate.. Tako analo kweli acheni kupotosha hapa... Mtoto ngozi yake ni nzuri na laini sana, ingawa sura yake ipo kama walivyo wasichana wengi wa mbeya
haaaa?
utaona....
 
Kwani uongo? Sura mbaayaa ila Takoo mashaalaah kwel mungu akunyimi vyotee..
 
Huyu demu nashangaa anavyopaishwa wakati hana sura wala tak..Uswahilini huku kuna mademu wakali wana nyoro na figa za balaa mara mia ya huyo giggy money na wametulia tu
 
Back
Top Bottom