The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Ulikuwa hujuiWasanii wa Serikali?!! Only in Tanzania...
Nimetembea Nchi nyingi sana sana sijawahi kusikia Wasanii wa Serikali zaidi ya Brass band za Taasisi mbali mbali za Kijeshi.Ulikuwa hujui
Mwalimu Nyerere alimpa Freeman Mbowe kusimamia Wasanii wa Muziki wa kisasa( Kizazi kipya)Nimetembea Nchi nyingi sana sana sijawahi kusikia Wasanii wa Serikali zaidi ya Brass band za Taasisi mbali mbali za Kijeshi.
Nilichoelewa ni kwamba Adui wa MTANZANIA ni MTANZANIA mwenzake.Umeelewa?
Usijitoe ufahamuNimetembea Nchi nyingi sana sana sijawahi kusikia Wasanii wa Serikali zaidi ya Brass band za Taasisi mbali mbali za Kijeshi.
View attachment 3093071
Wasanii wa Serikali ni hawa👆 hao wa Bongo fleva tokea lini wamejiunga na Brass Bands?!
Mimi nimefafanua na wewe fafanua hiyo comment yako tafadhali.Usijitoe ufahamu
Huyu dogo yuko vizuri sana!Wasanii wa Serikali?!! Only in Tanzania...
Hawa si wanapelekwa Korea mara China hakuna wasanii pale ni chawa tupuHiyo ipo wazi mbona, ukitaka kuamini subiri Mwaka ujao uanze...kampeni zitakolezwa na hao Wasanii
Nashangaa kwa yule Binti wa Yombo walifunguka balaa....ila kwa Mzee Ally mohamed Kibao, Aaagh
Au wanasubiri aanze mmoja kujitoa mhanga na kuandika wengine ndio wafunguke...
Wasanii wa Bongo wa ajabu kwelikweli 🤣