Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake.

Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio yanayoiumiza jamii.

Hiyo ipo wazi mbona, ukitaka kuamini subiri Mwaka ujao uanze...kampeni zitakolezwa na hao Wasanii

Nashangaa kwa yule Binti wa Yombo walifunguka balaa....ila kwa Mzee Ally mohamed Kibao, Aaagh

Au wanasubiri aanze mmoja kujitoa mhanga na kuandika wengine ndio wafunguke...

Wasanii wa Bongo wa ajabu kwelikweli 🤣
 
Wanaowqfatilia hawa wasanii wanaotetea upuz huwa nawashangaa sana

Ova
 
Wasanii wa Serikali?!! Only in Tanzania...
 
Ulikuwa hujui
Nimetembea Nchi nyingi sana sana sijawahi kusikia Wasanii wa Serikali zaidi ya Brass band za Taasisi mbali mbali za Kijeshi.

Tanzania_Police_brass_band.jpg

Wasanii wa Serikali ni hawa👆 hao wa Bongo fleva tokea lini wamejiunga na Brass Bands?!
 
Nimetembea Nchi nyingi sana sana sijawahi kusikia Wasanii wa Serikali zaidi ya Brass band za Taasisi mbali mbali za Kijeshi.
Mwalimu Nyerere alimpa Freeman Mbowe kusimamia Wasanii wa Muziki wa kisasa( Kizazi kipya)

Muhidin Gurumo kusimamia Wasanii wa Muziki wa Jazz

John Komba kusimamia Wasanii wa Kwaya, Maigizo na Ngoma

Umeelewa? 😄😄😄😄
 
Hakuna msanii ambae yuko upande wa serikali amepost jambo lolote lililoleta taharuki mpaka aone kiongozi wa serikali amepost, inamaana wasanii wetu sio huru? wanaogopa? inamaana wasanii wote ni wa serikali?
 
Hiyo ipo wazi mbona, ukitaka kuamini subiri Mwaka ujao uanze...kampeni zitakolezwa na hao Wasanii

Nashangaa kwa yule Binti wa Yombo walifunguka balaa....ila kwa Mzee Ally mohamed Kibao, Aaagh

Au wanasubiri aanze mmoja kujitoa mhanga na kuandika wengine ndio wafunguke...

Wasanii wa Bongo wa ajabu kwelikweli 🤣
Hawa si wanapelekwa Korea mara China hakuna wasanii pale ni chawa tupu
 
Back
Top Bottom