P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,407 Reaction score 3,260 Jan 14, 2015 #41 Bulldog said: Ney ana tabia za wanawake wa uswahilini. Hajui hiphop wala bongo fleva. Ni moja ya wasanii ninao wadharau sana Click to expand... Kwanini mkuu? Be patient mkuu the dude trying to make money.....dont take it personal Na kibongo bongo amefanikiwa kimtindo kuliko Niki Mbishi
Bulldog said: Ney ana tabia za wanawake wa uswahilini. Hajui hiphop wala bongo fleva. Ni moja ya wasanii ninao wadharau sana Click to expand... Kwanini mkuu? Be patient mkuu the dude trying to make money.....dont take it personal Na kibongo bongo amefanikiwa kimtindo kuliko Niki Mbishi
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Jan 14, 2015 #42 the american dream said: Mimi ninayo audio yake Sina maslahi yoyote yakunifanya niongeze au kupunguza maneno Click to expand... tuwekee hapa wote tuisikie!
the american dream said: Mimi ninayo audio yake Sina maslahi yoyote yakunifanya niongeze au kupunguza maneno Click to expand... tuwekee hapa wote tuisikie!
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Jan 14, 2015 #43 Ney wa Mitego muziki wake unasoko, unafahamika hata mtoto mdogo mtaani anaujua. Huyo Nikki mbishi anapoteza muda tu, aondoke kwa kuwa anapenda muziki lakini muziki haumpendi Nikki
Ney wa Mitego muziki wake unasoko, unafahamika hata mtoto mdogo mtaani anaujua. Huyo Nikki mbishi anapoteza muda tu, aondoke kwa kuwa anapenda muziki lakini muziki haumpendi Nikki
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,642 Jan 14, 2015 #44 Paula kilaki said: akadumba Click to expand... Mmh!! Akadumba ndio nini
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,804 Reaction score 2,482 Jan 16, 2015 #45 Dada neema nilinyamaza kimya nasikia umeanza tena. Ney ni mdananda aliyemwaga pombe ya mzushi.