Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

Ney ana tabia za wanawake wa uswahilini. Hajui hiphop wala bongo fleva.

Ni moja ya wasanii ninao wadharau sana

Kwanini mkuu?
Be patient mkuu the dude trying to make money.....dont take it personal
Na kibongo bongo amefanikiwa kimtindo kuliko Niki Mbishi
 
Ney wa Mitego muziki wake unasoko, unafahamika hata mtoto mdogo mtaani anaujua. Huyo Nikki mbishi anapoteza muda tu, aondoke kwa kuwa anapenda muziki lakini muziki haumpendi Nikki
 
Dada neema nilinyamaza kimya nasikia umeanza tena. Ney ni mdananda aliyemwaga pombe ya mzushi.
 
Back
Top Bottom