Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

Nilishawahi kuulizwa kati ya Christian Bella na Koffee Olomide nani mwenye sauti nzuri nikasema Bella nikaulizwa tena kati ya hao nani bora zaidi ya mwenzake nikasema Koffee kwa kuanzia hapo kuna kitu nilijifunza kuwa kweli muziki ni package haiitaji tu kuwa na sauti kama Bella kumbe unatakiwa kuwa kama Koffee, Koffee ni mtu mwenye sauti ya kawaida ila anajua muziki si kuwa tu na sauti tu ila inahitaji vitu vingi kama kuwa mbunifu, kujua nini fans wanataka kwa wakati gani flexibility iwe kubwa na vingine vingi hapa ndipo Diamond anapowashinda wasanii wengine wa Bongo hii itabaki hivi hivi kama hawa hawakubadilika kama issue tu ni kuwa na sauti kama Kiba au Bella wanaijeria wasingekuwa wana dominate hii game ya muziki Africa
 
Samahani mkuu nainukuu post yako kumuelewesha kijamaa Fulani humu
 
Na huu ndio ukweli Kiba anajua sana kuimba kuliko msanii yeyote Tanzania bara na visiwani..lakini hajui biashara ya muziki na kwa hilo Diamond Yuko juu sana
Mkuu naomba unisahihishe kama hii kanuni naikosea,KAMA KWELI UNAKUBALIANA KUWA DIAMOND NI "MFANYABISHARA WA MUZIKI" FIKIRIA HII KANUNI WAKATI HAYUPO DIAMOND HADI TUNAMJUA DIAMOND.

UNATOA MUZIKI MZURI (huwezi kuwa na muziki mzuri kama hujui kuimba,chukua hii) >>>> UNAJULIKANA (unajulikana kwa kuwa watu wamekubali muziki wako,na watu hawakubali muziki wako kama si mzuri) >>>>>>>>> NDIPO UNAPOFANYA BIASHARA (mapromota wanakufuata ukafanye shoo,promota hakufati kufanya shoo kama watu hawakuitaji, na watu wanakuhitaji kwavile muziki wako ni mzuri na ndio maana wanatoa pesa zao ili kuona kitu kizuri)
 
Hizi ishu Nay asiongee sana mwisho wa siku sisi ndiyo majaji nani kati ya hao ana influence watu habari za biashara sisi hazituhusu kama fans waki Tanzania tunapima nani anakonga nyoyo na matokeo ya ujaji wetu sisi kama fans utaona mmoja anaweza kujaza kiwanja mwingine hawezi ni ishu tu yakutulia na kuacha ushabiki you will see the reality
 
Amemaliza kila kitu,na huo ndio ukweli mchungu ambao wenzetu wa madale hawataki kuusikia.
Hakuna kama Ali Kiba ktk bongofleva nchi hii.
Shkamoo Ali [emoji119]
 
Watu wakiona wamanza kupotea midomoni mwa watu (kufa ki sanaa) wanaanzisha bifu na Diamond...hata kama haina kichwa wala mguu...

Kuna jamaa yangu aliniuliza jana mbona Wema simsikii siku hizi...
Nikamwambia ngoja muda si mrefu ataji link na Diamond afu utamsikia...otherwise ndio anapotea kwenye umaarufu
 
Mjinga sama huyu, ili mwimbo ake ukiki kaamua kiongea pumba na bila kumtaja Diamond anajua hauzi.

Najiuliza why hakumtaja kiba tu na kumaliza haja yake...
 
Nyumba ya chibu ya kwa mandela mimi nimejeng
a tabata alikiba kwangu ndiye bora bado atasema nina mwanamke mzuri kuliko zari
 
Amemaliza kila kitu,na huo ndio ukweli mchungu ambao wenzetu wa madale hawataki kuusikia.
Hakuna kama Ali Kiba ktk bongofleva nchi hii.
Shkamoo Ali [emoji119]
Mpuuzi sana huyu nay.. Hivi unajua wamekwaruzana na chibu juzi kati hapa??

Alafu anatafuta kiki dizaini maana karibia nyimbo mbili ametoa zimebuma and always kila mtu anataka kusafiria nyota ya tandale..
We hushangai Mara ooohh chibu ana nyumba sauzi lakini mimi ninayo yenye tjamani kama hiyo tabata, mara ooohh chibu sio mwanuziki ni mfanyabiashara!! Nonsense.. Mwambie basi Mengi aimbe aiteke bongofleva

The whole world knows who is the king of bongofleva! Madale stand up..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…