Nilishawahi kuulizwa kati ya Christian Bella na Koffee Olomide nani mwenye sauti nzuri nikasema Bella nikaulizwa tena kati ya hao nani bora zaidi ya mwenzake nikasema Koffee kwa kuanzia hapo kuna kitu nilijifunza kuwa kweli muziki ni package haiitaji tu kuwa na sauti kama Bella kumbe unatakiwa kuwa kama Koffee, Koffee ni mtu mwenye sauti ya kawaida ila anajua muziki si kuwa tu na sauti tu ila inahitaji vitu vingi kama kuwa mbunifu, kujua nini fans wanataka kwa wakati gani flexibility iwe kubwa na vingine vingi hapa ndipo Diamond anapowashinda wasanii wengine wa Bongo hii itabaki hivi hivi kama hawa hawakubadilika kama issue tu ni kuwa na sauti kama Kiba au Bella wanaijeria wasingekuwa wana dominate hii game ya muziki Africa