Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

Atoe Wimbo wa Chrismas utampa kiki.

Aimbe collabo na Bahati Bukuku fr. Rose Mhando.

Otherwise asubiri mpaka pasaka aimbe nyimbo za majilio!
 
Huyo Ney dawa yake Nikk M'bishi ndo hawezi kuleta ujinga wake .....Nikk anamwita Ney Neema wa mitego....
 
Mziki nao bado unahitaji hata mtu asome angalau ngumbalu Huwa namsikia Ney akiulizwa swali huwa anajibu ujingaujinga tu . Hii ajira ya mziki imebeba wala unga na bange.
 
what goes arround comes arround....aangalie asije akapitiwa....
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Inawezekana mkuu kesha pumuliwa ndio maana anakazia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…