Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

Blablablabla vitu vingine havitakagi ujuaji...... mziki mzuri
 

Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama alivyodai, Ommy dimpoz akatajwa anapumuliwa na diamond na shetta gari yake ya milioni 100 nayo ikayeyeuka

ule wimbo nimeusikiliza mpaka mwisho hakuna nilichoelewa hata kimoja,sauti mbaya,midundo mibovu sijui ni singeli au taarabu ile
 
Neema wa mitego bila kuimba nyimbo za kuwachafua watu hawezi bamba, huu wimbo mpya umedhihirisha, no body cares
 
Back
Top Bottom