Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

wote kawazalisha kabla ya kuachana nao...mpe sifa yake mkuu
 
Skyner ni hatari!! Mzee mwenzangu blessings umeona mzigo huo
 
Mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako kulala na wasichana wazuri hii nayo ni dalili mbaya.
 
We Ukienda Copacabana beach braziliera si ndiyo utazimiaaaa kuona watoto wakali...
Mtoto mgumguu....tako Lipo.....hana tumbo....
Sura nzuri......Mwili umekazaaaa
Syo Minyama hiyoooo

OvA
 
siku ukienda nialike mkuu
 
Huyu skaina ananenepa hadi uzuri unaisha,itakuwa hao wanawake ndio shida maana sasa ana kidemu simple tu na siwema alimpenda mno Ney
Basi huku Mwanza anajionaga star na hakuna alie na habari nae
 
Nikupe oda ya sato uniagizie mama.... [emoji23]
 
Huyu skaina ananenepa hadi uzuri unaisha,itakuwa hao wanawake ndio shida maana sasa ana kidemu simple tu na siwema alimpenda mno Ney
Basi huku Mwanza anajionaga star na hakuna alie na habari nae
Nikupe oda ya sato uniagizie mama. [emoji4]
 
Back
Top Bottom