Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

Huyu skaina ananenepa hadi uzuri unaisha,itakuwa hao wanawake ndio shida maana sasa ana kidemu simple tu na siwema alimpenda mno Ney
Basi huku Mwanza anajionaga star na hakuna alie na habari nae
Alifuata jina kidogo
 
Duh kama uzuri ni kuwa na minyama nyama sawa, siwema ana umbo zuri ila sura nzito.
Hivi siwema amekwishatoka gerezani alikokuwa kawekwa kwa kosa la ku mblackmail mme wa mtu?
Alishatoka kitambo,yupo mwanza anamiliki kijipub na dukua la Nguo.
 
We Ukienda Copacabana beach braziliera si ndiyo utazimiaaaa kuona watoto wakali...
Mtoto mgumguu....tako Lipo.....hana tumbo....
Sura nzuri......Mwili umekazaaaa
Syo Minyama hiyoooo

OvA
Weka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…