Nay wa Mitego: Nyumba ya Mill 300 Diamond aliyonunua South Africa mimi nimejenga Tabata

Nay wa Mitego: Nyumba ya Mill 300 Diamond aliyonunua South Africa mimi nimejenga Tabata

Nyumba ya mil.300 halafu anamiliki murano old model na prado model ya kati......wasanii wa bongo kwa kujikweza haeajambo ndio maana chibu huwa anaweka na video kabisa kumaliza ubishi....sasa huyu wa tabata hata picha hajaweka
Hiki ulichoandika hapo umekusudia kutoka moyoni mkuu??
 
Hivi we bwege ushawahi kusafiri kweli.
Tafuta kazi hiyo ya kumsifia mwanaume mwenzio kwenye kila post haikufai. otherwise olewa ukaishi madale tujue moja
Basi shangazi nimekusikia,kuanzia leo nitaanza kukusifia wewe hapo Dada ake Baba. Vipi lakini uncle ajambo ..... siku hizi inaonyesha umeshalizoea dudu,maana kila siku ulikuwa analalamika kwa wifi yako (mama yangu) kuwa mume aliyekuoa ana dudu kubwa.
 
Dah...hivi TRA huwa wanapitapita humu?[emoji13] [emoji13]
 
Basi shangazi nimekusikia,kuanzia leo nitaanza kukusifia wewe hapo Dada ake Baba. Vipi lakini uncle ajambo ..... siku hizi inaonyesha umeshalizoea dudu,maana kila siku ulikuwa analalamika kwa wifi yako (mama yangu) kuwa mume aliyekuoa ana dudu kubwa.
Watoto mliotokea kwenye tundu la choo utayajua tu,yote uliyoandika ni mamaako anayolalamika kwa jirani sio
 
bado haifiki mil 300
hahaha, sawa utaongezea basi
Kuna Mambo mengi nimeyaacha hapo MO11,
Mfano unaposema finishing ni Pamoja na Pavings, 1pc ya pavings ni 300/=, sasa Pavings unaweza chukua zaidi ya 20,000 bado fundi!!!!

Hapo itakuwa tayari
 
hahaha, sawa utaongezea basi
Kuna Mambo mengi nimeyaacha hapo MO11,
Mfano unaposema finishing ni Pamoja na Pavings, 1pc ya pavings ni 300/=, sasa Pavings unaweza chukua zaidi ya 20,000 bado fundi!!!!

Hapo itakuwa tayari
chenji bado ipo
 
Sasa hivi bongo ukitaka kupandisha chati ujipime au uanze bifu na Diamond
Tabata hakuna maji na ni sehemu ya mafuriko unafanisha na nyumba ilioko South Africa katika kitongoji cha matajiri?
Kuna mwingine H.Baba kataka aoneshwe hati ya nyumba ya Diamond ndio aamini kuwa ni yake.!!wakati yeye kapanga magomeni
 
Kiwanja Eneo Zuri Hauwezi Kupata kwa 15milions,Kiwanja Eneo Zuri cha Sqm 780 ni Zaidi ya Milioni 50(Vyenye Hati na Sio Skwata) Von Mo ,Kwa Msanii Mkubwa Kujenga Nyumba kwenye Kiwanja cha 25 kwa 30 kama Dimond Madale haijakaa poa,Msanii unatakiwa Hamna Hamna una kiwanja cha kupimwa kabisa tena 50 kwa 50(sqm 2,500),Nachukia sana utakuta msanii anasema ana nyumba lakini ukija kuangalia amejenga kwenye skwata na kiwanja chenyewe miguu ishiri kwa ishiri khaa ni aibu,angalieni wasanii wenzenu mtoni mtu ana ekari 40 ameweka Mansion.
 
KAMA WEWE NI MSANII WA KWELI UNA NYUMBA NENDA KAJENGE MBWENI JKT,MBWENI MALINDI,BUNJU BEACH,KIWANJA CHA BEI RAHISI MIL 80 HICHO NI KIWANJA TU.
 
Ney alianza kuharibu alipoanza kuimba nyimbo za kutukana na pumba zinazofanana na hizo
 
Nyumba kubwa au ndogo au imeizidi ya flani sisi inatuhusu nini.
 
Simuungi mkono Nay katika mambo mengi lakini kama umewahi kujenga nyumba ya kisasa utakubali million 300 kujenga nyumba ni kitu cha kawaida kwa sababu nyumba ya kawaida unatumia si chini ya mil 50 mbali kiwanja, nyumba ya kifahari zaidi unatumia million 300 kwani kuna nyumba gharama za fence wall yake tuu ni sawa na nyumba zetu hizi. Kurahisishwa gharama za ujenzi kulinifanya wakati ninajenga budget niliyotegemea kufanya kila kitu iishie kupaua na kunifanya nihangaike sana shikamoo nyumba.
hivi we mbwiga umeshawahi kujenga nyumba?nyumba ya kawaida m 15 inatosha
 
Back
Top Bottom