Nay Wa Mitego | Sauti Ya Watu

Nay Wa Mitego | Sauti Ya Watu

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666

=
Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika......
=
Lyrics
Sauti Ya Watu - Nay Wa Mitego
...
Hii sio sauti ya kiharakati
Wala ukombozi wa musa na fimbo yake
Bali haya ni maumivu ya mnyonge
Anaewakilisha walala hoi wenzake
Kwenye kinywa kilichokosa pakuseme hisia zake
Mmmh eee mmh eee mmm eeeh

Rais
Natanguliza samahni kwa wale ntakao wakwaza
Yamenifika hapa nimeshindwa kunyamaza
Wapo wengi kama mimi wenye sauti kama mimi
Sijui ni ubinafsi hawasemi kama mimi

Anko alisema kwamba tupo uchumi wakati
Haya tudanganyeni tena tupo uchumi wangapi
Wapigaji walotumbuliwa ndo wamerudi mzigoni

Kamladi kwa million mnataja mabillion
Hamna huruma nyinyi na sisi masikini
Hivi hiyo bajet si mngeweka hosptalin

Na huyu ndo yule binti aliemaliza chuo bila uwakika wa kazi alosomea huko chuo
Hajui atafanya nini amebaki na vyeti vyake
Anajuta alisoma nini si angejiuza ka wenzake
Panya road jina la pili la kijana asiekua na ajira
Na risasi ndo hukumu inayomfika ata asie na hatia
Huna afadhali wa maisha vyuma vimezidi kukaza

Mambo yanaharibika na wapinzani wamenyamaza
Kama ulimpenda baba huwezi muelewa mama
Na kama hukumpenda baba bado utamchukia mama
Yani kumpenda mama na kumchukia baba
Ni sawa kuipenda nyama alafu hupendi mchuzi wake
Mmmh eeeh

Mmh hii ni sauti ya watu
Na hilii giza tunaenda wapi
Tunafanya nini
Tutaishi vipi
Ata mwanga hauonekani
Mmmh eeh mmh eeh mmmh eeh

Ukiona mtoto halii njaa na nyumbani hakuna chakula
We mchunguze vizuri kuna sehem anakula
Hii ni kweli mama hali mbaya sio tandale sio masaki
Kilio chakila mtu pesa hakuna imefichwa wapi
Sikuhizi mpka vigenge vya nyanya TRA wanataka kodi
Masikin amejichanga vipesa bank anakatwa tozo

Hivyo V8 mnavyonunua si hela zetu za kodi
Naona mnaenjoy kuliko ata walipa kodi
Mnajenga hosptal madawa hakuna
Mnatujengea shule lakin walimu hatuna
Kudanga ndo kimbilio kubwa la wadada zetu
Ndo mtaji asokopeshwa hakatwi tozo wala kodi

Hivi mna akili nyinyi mnashauri tujiajiri
Wakati nyinyi wenyewe mpka sasa umeajiliwa
Acheni nafasi zenu na nyinyi mkajiajiri
Hapo ndipo tutakapo amini kweli nyie washauri wazuri
Kati ya mtawala na mpinzani
hapa muoga nani

Mtawala aliekataza mikutano isifanyike
Au mpinzani asiefanya na anajua ni haki yake
Mmh hii ni sauti ya watu
Na hili giza tunaenda wapi
Tunafanya nini
Tutaishi vipi
Ata mwanga hauonekani
Mmmh eeh mmmh eeeh mmmh eeh

Heheh bi mkubwa anapambana sana
Pengine hofu ni kuhusu swali la msingi
Kwenye vijiwe vyetu
Je vita yake na anaowaamin ni sawa
Isije ikawa ni mbinu tofauti
Heh tumerudi kule kule
Maji ya mgao umeme wa mgao
Maji hayatoki bili zinatoka

Mmh police hongereni kwa jitihada nyingi
Amsemi kwa ubaya lakini pia hamsingiziwi
Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja
Mmh eeh mmh eeh mmh eeh mmh eeh
 
Watu wanachotka ni muziki mzuri kama wanaoimba Wasafi, huyu nay anapiga kelele za siasa kila siku hakuna anaesikiliza hizo kelele zake
Sio watu sema wewe ndo unataka miziki ya aina hiyo

Everyone has his or her choice.
Pia ukisema hakuna anaesikiliza kelele zake una uhakika na ukisemacho?
 
Nay anaimba Yale Yale , ameshindwa kugusia hitaji la wananch Kwa sasa , mikopo lukuki na misaada lukuki , lakn matokeo yake , umeme hakuna , maji hakuna , huduma za kimawasiliano zpo juu , chakula hakishikiki , alaf yeye anawaza kuwalipa wafanyakazi hewa , ... Sasa tunajiuliza hzo hela anakusanya kila sku zinaenda wap..... Sasa anaimba vile vitu ambavyo ashawah kuviimba b4, hata hvyo kongole kwake anathubutu angalau
 
Sio watu sema wewe ndo unataka miziki ya aina hiyo

Everyone has his or her choice.
Pia ukisema hakuna anaesikiliza kelele zake una uhakika na ukisemacho?
Ni kweli kila mtu ana choice yake lakini mauzo kwenye soko la muziki ndiyo yanaonyesha ni kipi kinachosikilizwa/kinachopendwa na wengi.
 
Ni kweli kila mtu ana choice yake lakini mauzo kwenye soko la muziki ndiyo yanaonyesha ni kipi kinachosikilizwa/kinachopendwa na wengi.
Nakubaliana nawe, ni kweli kabisa

#Msanii kioo cha jamii
Au kuna mapenzi tu kwenye jamii zetu
 
=
Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika......

Moja ya wapambanaji wachache waaminifu waliobakia katika sanaa ya muziki. Akina Roma Mkatoliki sijui wamefia wapi!

Tangu watekwe na kutupwa Ununio enzi zile za akina Bashite, mambo kwao yamekuwa ni tofauti kabisa.
 
Lyrics
Sauti Ya Watu - Nay Wa Mitego
...
Hii sio sauti ya kiharakati
Wala ukombozi wa musa na fimbo yake
Bali haya ni maumivu ya mnyonge
Anaewakilisha walala hoi wenzake
Kwenye kinywa kilichokosa pakuseme hisia zake
Mmmh eee mmh eee mmm eeeh

Rais
Natanguliza samahni kwa wale ntakao wakwaza
Yamenifika hapa nimeshindwa kunyamaza
Wapo wengi kama mimi wenye sauti kama mimi
Sijui ni ubinafsi hawasemi kama mimi

Anko alisema kwamba tupo uchumi wakati
Haya tudanganyeni tena tupo uchumi wangapi
Wapigaji walotumbuliwa ndo wamerudi mzigoni

Kamladi kwa million mnataja mabillion
Hamna huruma nyinyi na sisi masikini
Hivi hiyo bajet si mngeweka hosptalin

Na huyu ndo yule binti aliemaliza chuo bila uwakika wa kazi alosomea huko chuo
Hajui atafanya nini amebaki na vyeti vyake
Anajuta alisoma nini si angejiuza ka wenzake
Panya road jina la pili la kijana asiekua na ajira
Na risasi ndo hukumu inayomfika ata asie na hatia
Huna afadhali wa maisha vyuma vimezidi kukaza

Mambo yanaharibika na wapinzani wamenyamaza
Kama ulimpenda baba huwezi muelewa mama
Na kama hukumpenda baba bado utamchukia mama
Yani kumpenda mama na kumchukia baba
Ni sawa kuipenda nyama alafu hupendi mchuzi wake
Mmmh eeeh

Mmh hii ni sauti ya watu
Na hilii giza tunaenda wapi
Tunafanya nini
Tutaishi vipi
Ata mwanga hauonekani
Mmmh eeh mmh eeh mmmh eeh

Ukiona mtoto halii njaa na nyumbani hakuna chakula
We mchunguze vizuri kuna sehem anakula
Hii ni kweli mama hali mbaya sio tandale sio masaki
Kilio chakila mtu pesa hakuna imefichwa wapi
Sikuhizi mpka vigenge vya nyanya TRA wanataka kodi
Masikin amejichanga vipesa bank anakatwa tozo

Hivyo V8 mnavyonunua si hela zetu za kodi
Naona mnaenjoy kuliko ata walipa kodi
Mnajenga hosptal madawa hakuna
Mnatujengea shule lakin walimu hatuna
Kudanga ndo kimbilio kubwa la wadada zetu
Ndo mtaji asokopeshwa hakatwi tozo wala kodi

Hivi mna akili nyinyi mnashauri tujiajiri
Wakati nyinyi wenyewe mpka sasa umeajiliwa
Acheni nafasi zenu na nyinyi mkajiajiri
Hapo ndipo tutakapo amini kweli nyie washauri wazuri
Kati ya mtawala na mpinzani
hapa muoga nani

Mtawala aliekataza mikutano isifanyike
Au mpinzani asiefanya na anajua ni haki yake
Mmh hii ni sauti ya watu
Na hili giza tunaenda wapi
Tunafanya nini
Tutaishi vipi
Ata mwanga hauonekani
Mmmh eeh mmmh eeeh mmmh eeh

Heheh bi mkubwa anapambana sana
Pengine hofu ni kuhusu swali la msingi
Kwenye vijiwe vyetu
Je vita yake na anaowaamin ni sawa
Isije ikawa ni mbinu tofauti
Heh tumerudi kule kule
Maji ya mgao umeme wa mgao
Maji hayatoki bili zinatoka

Mmh police hongereni kwa jitihada nyingi
Amsemi kwa ubaya lakini pia hamsingiziwi
Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja
Mmh eeh mmh eeh mmh eeh mmh eeh
=

Hakuna anaemuwinda sababu kila mtu anajua lengo lake ni kutukana serikali ili akamatwe awe shujaa kwa wanaChadema. So wanampotezea tu siku hizi apewi kiki
Anatafutwa kwa udi na uvumba
 
=
Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika......
=
Hamna nyimbo Wala ubunifu hapa Kuna kelele na ujinga, we liache lipayuke watoto wadogo wanapiga hela kwa nyimbo nzuri bila kelele
 
Back
Top Bottom