Nay wa Mitego:Simu nzito imeshapigwa

Kuhusu wamachinga na bodaboda Ney kadanganya.Hayo ni makundi ambao ukiwagusa tu John anakushukia kama mwewe.
 
Ngoja tuu-download mapema kabla mambo hayajaharibika hapa, wakifungia sisi tunaendelea kuumung'unya taratibu na earphones.
 
Ngoja niingiepo mtandaoni fasta nipakue!

Ila kwa maoni ya wajumbe hapo juu Ni bonge la ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…