Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imezidi ukali Mkuu!Ngoma kali sana
Hawana access ya kuingia utube,hao wakoloni weusi.Share Youtube link tupakue kabla hawa wakoloni mambo leo wapenda kusifiwa tu hawajaufungia.
Nisha upakua
Share Youtube link tupakue kabla hawa wakoloni mambo leo wapenda kusifiwa tu hawajaufungia.
labda machinga na bodaboda wa mwanzaKuhusu wamachinga na bodaboda Ney kadanganya.Hayo ni makundi ambao ukiwagusa tu John anakushukia kama mwewe.
Umeua mzee kula tanolabda machinga na bodaboda wa mwanza