Nay wa Mitego:Simu nzito imeshapigwa

Kuhusu wamachinga na bodaboda Ney kadanganya.Hayo ni makundi ambao ukiwagusa tu John anakushukia kama mwewe.
Si mpaka wawe wa Mwanza! Wajaribu wa Arusha na Mbeya kama utasikia zaid ya kusema Polisi fanyeni kazi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…