Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa wapi?Wa mwanza sawa,ila jijini hapana!Kuhusu wamachinga na bodaboda Ney kadanganya.Hayo ni makundi ambao ukiwagusa tu John anakushukia kama mwewe.
Mkuu King Kong III [emoji23]Bodaboda,Walimu,Wavuvi,wanafunzi wote lawama kwa Yohana.
Si mpaka wawe wa Mwanza! Wajaribu wa Arusha na Mbeya kama utasikia zaid ya kusema Polisi fanyeni kazi yenuKuhusu wamachinga na bodaboda Ney kadanganya.Hayo ni makundi ambao ukiwagusa tu John anakushukia kama mwewe.
Babu we mkareeeh,nami nakupa dala mwanangu.labda machinga na bodaboda wa mwanza