Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
No, Kama kweli nisheria basi ni kandamizi. Nay anatumia uhuru wa kutoa mawazo kwa mujibu wa katiba. Hajamtukana mtu, na ameuliza/ amesema mambo ambayo yapo mtaani. Hatuyasikii toka kwa watawala. Hata bungeni yakiongelewa yanapingwa kwa nguvu zote za dola. Mnataka hayo yasisemwe ni kwa manufaa ya nani? Acheni hizo, fikra hizo ziende na mwendazake.
Tena kenge mwitu kabisaBASATA wanataka uisifie CCM, upewe kofia. Hawataki mawazo mbadala. Kenge sana wale watu.
Hawana msaada kwa wasaniiIfike muda Basata wahojiwe kujua wameisaidiaje sanaa mpaka sasa lasivyo baraza livunjwe
BASATA ni wazee ambao waliajiriwa siku nyingi na serikali kushughulikia mambo ya sanaa.Hivi basata uwa inawasaidiaje wasanii katika kuboresha maslahi yao.
Au kazi yao ni kuwabana tu
so as youHe is Stupid.
Nay hajawahi fagilia ujinga.Hawa si waliipamba CCM kwenye kampeni?
Acha nao wapambike