NaY wa mitego yuko sahihi au anakosea?

NaY wa mitego yuko sahihi au anakosea?

View attachment 1774635Ametangaza kuanzia kesho anajitoa Basata kutokana na sheria zao kandamizi,hatopeleka tena nyimbo redioni bali atafanya mziki mtaani.
maamuzi ya Nay yamekuja baada ya wimbo wake wa Mama kupigwa pini na Basata.

Ikumbukwe tu Sheria ya Basata inataka msanii kabla ya kuachia wimbo wake apeleke Basata ili uhakikiwe ndipo upewe go ahead ama upigwe ban.

My take Basata kuna ukoloni flan hivi na mambo ya kishamba huenda kua waliopo kwenye hiyo ofisi ni aidha walokole,hawajui mziki wala hawana interest na wala hawafatilii mambo ya mziki,hawajui hastling za kitaa au ni washamba na malimbukeni ndio maana wanakurupuka kurupuka kwenye maamuzi yao.
Basata ni wadwanzi sana
 
 
Ney huwa haogopi chochote,maamuzi aliyochukua ni maamuzi sahihi kabisa maana haiwezekani mijitu inatunga sheria za kijima mpaka karne hii

Mimi mwenyewe kuanzia kesho naanzisha blog yangu bila kuisajaili tcra na nawashauri watanzania wenzangu tuanze kuzivunjilia mbali sheria za hovyo zilizotungwa kwa shinikizo la JiwePM
 
Sheria zifuatwe maana maadili yamepotea na chanzo kikubwa ni mziki wa kizazi kipya.

Ney anajidanganya. Mkono wa sheria haukimbiwi. Ni sawa na mtu aseme anajitoa kuwa sio Mtanzania hivyo atakuwa anaua tu watu bila sheria kuchukua mkondo wake maana alishajitoa uraia.

BASATA itamfuata huko huko anakokimbia.
Amuulize Diamond aliyejifanya kutaka kuhamia Kenya
Mwenyewe akanywea
 
Back
Top Bottom