NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nani kakwambia walokole hawajui mziki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basata ni wadwanzi sanaView attachment 1774635Ametangaza kuanzia kesho anajitoa Basata kutokana na sheria zao kandamizi,hatopeleka tena nyimbo redioni bali atafanya mziki mtaani.
maamuzi ya Nay yamekuja baada ya wimbo wake wa Mama kupigwa pini na Basata.
Ikumbukwe tu Sheria ya Basata inataka msanii kabla ya kuachia wimbo wake apeleke Basata ili uhakikiwe ndipo upewe go ahead ama upigwe ban.
My take Basata kuna ukoloni flan hivi na mambo ya kishamba huenda kua waliopo kwenye hiyo ofisi ni aidha walokole,hawajui mziki wala hawana interest na wala hawafatilii mambo ya mziki,hawajui hastling za kitaa au ni washamba na malimbukeni ndio maana wanakurupuka kurupuka kwenye maamuzi yao.
Amuulize Diamond aliyejifanya kutaka kuhamia KenyaSheria zifuatwe maana maadili yamepotea na chanzo kikubwa ni mziki wa kizazi kipya.
Ney anajidanganya. Mkono wa sheria haukimbiwi. Ni sawa na mtu aseme anajitoa kuwa sio Mtanzania hivyo atakuwa anaua tu watu bila sheria kuchukua mkondo wake maana alishajitoa uraia.
BASATA itamfuata huko huko anakokimbia.