Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Inaitajika akili kubwa sana kumwelewa. Pole kwa kua na akili ndogoNey mm sijawai mwelewa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitajika akili kubwa sana kumwelewa. Pole kwa kua na akili ndogoNey mm sijawai mwelewa kabisa
Mkuu na baridi hii moshi wa bange umeganda kwenye roof ya cranium ya mleta uzi😃😃😃Amekulia mitaani and at the same time ana laana ya baba ake aliyemlea, which is which we chizi
teh teh! Huyo boya alikuwa anataka ney aimbe "iyena iyena ccm nambari 1" maninah zake!Sijui kwa nini mzazi wako hakutumia uzazi wa mpango au hata kufanya abortion ya mimba yako.
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.
Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.
Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.
Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.
Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.
Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)
Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.
Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.
NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Eti elimu ya bure,hivi wewe zitakutosha kweli? Bora dingi yako angepiga nyeto tu,mbwiga mkubwa wewe.Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.
Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.
Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.
Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.
Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.
Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)
Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.
Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.
NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Akili ndogo unayo wewe unae kojoa njian na choo umekiacha nyumbNiInaitajika akili kubwa sana kumwelewa. Pole kwa kua na akili ndogo
Mmojawapo wa wasomi wajinga sana na chawa dume.Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.
Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.
Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.
Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.
Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.
Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)
Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.
Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.
NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Sahihi kabisa. Mleta mada anataka wote tufanane mawazo. Hataki criticism hata zenye kujenga.wenye laana wote Tanzania wangekuwa na laana kama hii ya Ney basi Taifa lingekuwa limeshakombolewa.
Ney hana radhi ya baba aliemlea toka utotoni.Kwanza, Nay siyo Msanii.....
Tatu Nay ni miongoni mwa wasanii wanaotumiwa na Wanaharakati...
Kwa ujinga huo wewe na aliyekutuma ni mafala.