Nayachukia maisha sababu ya kifo

Nayachukia maisha sababu ya kifo

Pole sana dada. Pole mnooo! Mungu akutie nguvu na kukufariji.

Kifo hakijawahi kuzoeleka ... Kila siku huja na matukio mapya na yenye maumivu yasiyoweza kuzoeleka!

Itoshe kukupa pole! Nilisoma hoja za Paul Kalanithi na mawazo yake juu ya kifo, ngoja nirudi kuzisoma Tena.
Asante sana mdogo ake na mimi 🤗
"When breath becomes air" kitabu kizuri sana, nimekisoma pia!
 
Bora kifo ni kituo cha ukomo wa mateso ya duniani ,assume unaumwa then unaishi milele na maumivu hayo ...Jaalia ni maskini halafu uishi hivyo miaka kama 100 hivi hayo mateso yake.

Bora kufa ni kitu bora zaidi kuumbwa na Mungu.
 
Pole sana. Inauma lakini inatusaidia kuamini ni kweli sisi si wa kudumu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom